Mohamedi Makaka ni golikipa mzuri saana! Tatizo lake ni mzee wa kuuza mechi ..... sitasahau alichofanya mechi ya Singida na Stand, Mbao na Stand, Alliance na Stand ... timu yetu pendwa ikashuka atabaki kuwa wa hapahapa na uhodari wake woote hatachezea timu kubwa