Big shame to those who made Magufuli believe he was immortal

This Tutsi immigrant how we don't like him. He uses his language skills to want to tell the world we did not like magufuli while the world knows we liked him and he was a great leader. To hell with this whisky drunkard.
 
Yaani huyu mtutsi ndio angetandikwa risasi sio lissu na adui zake. Shenzi sana..anajifanya kama ndio anajua wengine hawajui kitu. Pambafu sana. Mimacho imevimba kwa ulevi utafikiria mchina. Hawezi hata kuheshimu mamilioni ya watanzania waliyolia kwa uchungu kumpoteza shujaa wao.
 
A devout Catholic pious man of God..his spiritual father the late Bishop Balina did a gracious act of crafting a dutiful virtuous life out of JPM's soul.
 
Wewe ndie mpumbavu. Umejificha nyuma ya keyboard unatukana mzalendo wa kweli ambaye ametoka front kusema ukweli wake bila kujificha kama wewe.

Ndiyo, Jenerali yuko sahihi,Magufuli angeendelea kutawala nchi hii wajinga kama wewe wenye tabia za interahamwe za ukatili na uuwaji wangeongezeka sana!

Mungu anaipenda sana Tanzania. Ndio maana amekomesha utawala wa kidikteta na wa kikatili wa Magufuli. Just imagine,unakuwa na serikali ambayo majambazi kama Sabaya wanapewa uDC!
 
Nimeambiwa kuna tatizo watu wanataka kujadili article ya Kiingereza bila kujua kusoma Kiingereza.
Hilo ndiyo tatizo. Ujumbe wa Jenerari uko wazi kabisa kwanini utugawe kiasi hiki? Not reachable ndiyo kiini cha tatizo bila shaka.
 
Mbwembwe nyingiii za kingereza ujumbe umeeleweka vyema.

Hao wanaochukuliwa kama ndio wasio na dhambi ndio wachafu wenyewe.

Tumeongozwa na marais wanne kabla ya JPM ina maana na wao wanne ni wasafi sana?...acheni kuwa wanafiki!!.
Kwa hiyo unataka kumkwamisha Mama Samia ama?
 
Hilo ndiyo tatizo. Ujumbe wa Jenerari uko wazi kabisa kwanini utugawe kiasi hiki? Not reachable ndiyo kiini cha tatizo bila shaka.
Nyie watu mna matatizo...kwa kiingereza gani hasa hata watu wasielewe ujumbe?
 
Tahadhari, unapoandika baya juu ya JPM kuwa na ubinadamu maana unawatia huzuni mke n.k.
Nilisoma Phisics kidogo:
'EVERY ACTION HAS AN EQUAL AND OPPOSITE REACTION'
Sina hakika sana kama principal hii ina-apply ktk mada hii.
Lakini jiulize: Kwanini kuna kuwa mijadala mingi kumhusu Magufuli, na wengi wanamshutumu na kumlaani? Mbona haikuwa hivo kwa JK, BWM na wengine waliotangulia? Acha maneno rahisi ya uzalendo uwara au eti marehemu hasemwi.
 
🤣🤣🤣 Biashara ya legacy ndo imeisha hiyo mkuu.
Imemalizwa na nanii. Kama ingeisha kwanini ufipani mumekwepa kupeleka mgombea wenu kwenye chaguzi zile za ubunge wa majimbo mawili? Mngejalibu mkajionea kwamba nikweli legacy ya jpm imeisha au ipooo. Tukutane 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…