KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
acha ujinga..ukiona mavi njiani kwani lazima uyashike?acha kuangalia kama inakukera dogo.
Hapa tunadhalilishwa taifa si familia ya mhusika. ingekuwa mshiriki anatambulika kama mshiriki wa familia fulani hii sawa lakini mwakilishi anatambulishwa kama ni mshiriki kutoka tanzania. naomba unielewe. acha jazba.
Kulitangaza Taifa kwamba lina watu mahiri kwa kupenda ngono na pombe au unamaanisha nini? Halafu wewe jamaa mbona tangu umeanza kujiita Saint Ivuga nahisi kama vile Hard disc yako na server ya kichwani mwako kama imecolapse!!off course kaka..hii inasaidia kulitangaza taifa kama hujui sasa.
Kulitangaza Taifa kwamba lina watu mahiri kwa kupenda ngono na pombe au unamaanisha nini? Halafu wewe jamaa mbona tangu umeanza kujiita Saint Ivuga nahisi kama vile Hard disc yako na server ya kichwani mwako kama imecolapse!!
Kulitangaza Taifa kwamba lina watu mahiri kwa kupenda ngono na pombe au unamaanisha nini? Halafu wewe jamaa mbona tangu umeanza kujiita Saint Ivuga nahisi kama vile Hard disc yako na server ya kichwani mwako kama imecolapse!!
Kabla serikali haijatoa tamko kwanza wewe unayemind angalia una dada hajazalishwa nje ya ndoa????BBA mpango mzima n kama unaipenda BBA tuombeane heri nipo katika michakato mwanenu kuwakilisha TZ!!!!!tutajuzana kwa jina halisi
acha ujinga..ukiona mavi njiani kwani lazima uyashike?acha kuangalia kama inakukera dogo.
Redio clauds fm inatoa matangazo ya kuwahamasisha tz wanaopenda kushiriki shindando hilo, wakajiandikishe multchoice na sehemu nyingine kadha wa kadha. serikali kupitia wizara ya habari na utamaduni ilisisitiza kuwa haitambui shindano hilo na haitoi baraka kwa washiriki wanaokwenda huko kuiwakilisha tanzania. Mbona serikali inakaa kimya wakati zoezi la kuwaandikisha wa tz wanaopenda kushiriki shindano hilo limeshashika kasi?
unapanga kuingia na nani mwenzetu?Kabla serikali haijatoa tamko kwanza wewe unayemind angalia una dada hajazalishwa nje ya ndoa????BBA mpango mzima n kama unaipenda BBA tuombeane heri nipo katika michakato mwanenu kuwakilisha TZ!!!!!tutajuzana kwa jina halisi