Sasa jamani hebu naomba tuwe fair, hivi kweli kuna kijana aliyetimamu ambaye yupo tayari kusoma vyuo mbuzi wakuu? Dah eti mfano mi niende Mtwara university jamani si ntazimia jaman, E mola tusaidie kwakweli.

Acha mbwembwe dogo si umesema wewe unaenda udom kusomea urubani kati ya moja ya post zako umu jf :what::what::what:...... anyway nenda uko mtwara wakakufunze maisha dodoma hatuiitaji watu kama nyie
Minimum entry ya 2.5,,, ni hatari
Sasa jamani hebu naomba tuwe fair, hivi kweli kuna kijana aliyetimamu ambaye yupo tayari kusoma vyuo mbuzi wakuu? Dah eti mfano mi niende Mtwara university jamani si ntazimia jaman, E mola tusaidie kwakweli.
Mkuu sidhani kama ni kweli wananyimwa wanafunzi,kama ni hivo basi ina mana wanafunzi wote walioomba wamepata vyuo.Mimi nafikiri vyuo binafsi ziwe na ubunifu na kozi adimu na zenye soko.kaka inabidi uelewe kuwa hivyo vyuo vikuu vyote hapa TZ vipo chini ya TCU, na vimekidhi vigezo kwa kutoa elimu ya juu. lakin pia vyuo binafsi havipati ruzuku kama hivyo vya umma, so kwa wao kupewa wanafunzi wachache, ni kuviua automatically maana vitashindwa kujiendesha
Unadhani nchi kama india au nigeria minimum qualification zao ukilinganisha na zetu zina uwiano gani.Ni shida mkuu.
Acha mbwembwe dogo si umesema wewe unaenda udom kusomea urubani kati ya moja ya post zako umu jf :what::what::what:...... anyway nenda uko mtwara wakakufunze maisha dodoma hatuiitaji watu kama nyie
majangaaa
ukistaajabu ya musa
Lkn acheni kudanganyana Aje hapa aliye chaguliwa ambako hakuomba. TCU cas haimpangii mtu chuo ni yeye mwenyewe ndio anachagua wapi anataka kwenda na computer inafanya kazi yake. ni jukumu la vyuo binafsi kujitangaza na kuwaambia hao applicant kwanini wasichague kwao na si ud dit mzumbe na kwingineko kwenye vyuo vya uma.