Nenda Karibu Textiles. Ila mimi nakumbuka niliwahi kununua mwaka juzi kwa Tshs 17,000/= Jora moja kwa Agent wa Karibu Textiles ambaye yupo mnazi mkabala na lile Jengo la Scandnavia. Jina la duka nimelisahau ila ukiwavuka wale kina mama wanaouza mabatiki ukikunja kona utalikuta Duka na wameandika kibao kinachoonesha kwamba wao ni wakala wa Karibu Textiles.Habar wana jf,naomba msaada kuhusu biashara ya vitenge vya mafuta au java,mbeya vinauzwa 15000 kwa pieces 2/ doti,na 43000 kwa pieces 6 /jola,nasikia wananunua dar kwa jumla.Naomba kujua bei ya jumla dar ni shiling ngapi?na vinapatikana dar sehem gani? Natanguliza shukrani,naomba mnisaidie
Mkuu nauza sambusa ndugu moja 700mim nataka na hizo sambusa hapo kwenye avatar yako... nazo unauza
Asante sana ndugu yangu,Mungu akupe haja ya moyo wakoJora kwa Dar ni 40000 ina piece sita fika kariakoo au kitumbini utafurahi na roho yako kwa mbeya wengine nadhani wanauza 42000 faida 2000 anachukua...biashara hi ni nzuri ukipata eneo lenye mzunguko mzuri wa biashara
Habar wana jf,naomba msaada kuhusu biashara ya vitenge vya mafuta au java,mbeya vinauzwa 15000 kwa pieces 2/ doti,na 43000 kwa pieces 6 /jola,nasikia wananunua dar kwa jumla.Naomba kujua bei ya jumla dar ni shiling ngapi?na vinapatikana dar sehem gani? Natanguliza shukrani,naomba mnisaidie
Unaweza unanichek 0786106281Habari wana JF,
Naomba msaada kuhusu biashara ya vitenge vya mafuta au Java, Mbeya vinauzwa 15000 kwa pieces 2/ doti, na 43000 kwa pieces 6 /jola, nasikia wananunua Dar kwa jumla. Naomba kujua bei ya jumla Dar ni shiling ngapi? Na vinapatikana Dar sehem gani?
Natanguliza shukrani, naomba mnisaidie
Tofauti ya vitenge vya kariakoo na kitumbini ni ipi?Mimi nauza vitenge vya java ,duans nanunua kariakoo jumla 19000 au 20000 piece 3