mkuu unataka kufanya biashara ya spea zipi hasa??.
magari makubwa marori kama fuso canter scania hino faw volvo benz fiat isuzu n.k
au spea za magari madogo??
na je wataka kufanya biashara ya spea gani hasa?? used au mpya?!
kabla ya yote mkuu ungejibu maswali hayo machache