Naomba kuuliza kwa biashara ya mikate ya jumla inahitaji mtaji kama kiasi gani na vipi kwa wenye experience inalipaa? yaani ni ile nainunua na kufanya delivary kabisa kwenye madukaa..ahsanteni na naomba ushirikiano wenu
WANAOFANYA BIASHARA HIZO WENGI WAO...WANAITENGENEZA WENYEWE...LAKINI...KAMA UPO DAR ES SALAAM PALE MIKOCHENI...KARIBU NA UBAROZI WA MAREKANI....KUNA SUPPERMARKET INAITWA SHOPPERS...kuna watengenezaji wa mikate pale nadhani unaweza ukaenda kuzungumza nao ujue bei...ya jumla ujue jinsi utakavyo jipanga