Kama una millioni mbili na nusu inatosha kabisa mchanganuo no kama ifuatavyo mzani 150,000 , gharama ya kusafirisha mzigo(Mchele) wa kutosha kutoka kahama au mbeya 1,200,000 , fremu, kodi(TRA) na gharama nyingine 700,000. Anyway gharama nilizoweka ni makadirio ambapo kwa hiyo 1,200,000 inaweza kuchukua gunia za kilo hamsini kama ishirini hivi kutoka kahama(shinyanga)