Nina mawe aina ya sunston. Kwa aliepo Dar au Arusha naomba anijuze bei ya madini hayo kwa Kg. nipo Morogoro[/QUOTE
Unauzaje kwa kilo na uwezo wako ni kiasi gani kwa mwezi? Ili tuingie katika mkataba wa mwaka mmoja kwanza. Naomba majibu yaambatane na picha.