Nenda TFS, Omba kibali cha kuvuna mazao ya msitu shambani kwako, watakupa Kitu kinaitwa Forest Produce Allocation Certificate ya Mwaka mmoja bure, itabidi usajiriwe na kupata leseni ya kufanya biashara ya mazao ya misitu nadhani ni 250,000 baada ya hapo utaanza kuchoma Mkaa. Ukimaliza nenda ukaombe kibali cha kusafirisha Mkaa kwenda popote Tanzania ambapo kila gunia utalipia 12,500 baada ya hapo utakuwa huru kupeleka popote. Mimi nimefuata hayo na sasa niko shambani nachoma, nimepewa kibali cha kuvuna mkaa gunia 650 na nitauza popote kutakapokuwa na maslahi. Wateja karibuniNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Nimevutiwa sana kufanya biashara ya kuuza mkaa, ambayo kwa kifupi nahitaji kuchoma tanuri mwenyewe mpaka hatua ya mwisho ...namaanisha kuingiza sokoni mwenyewe....sasa kwa faida ya wengine wasiojua ....nahitaji kwa anayefahamu anielekeze utaratibu upoje yaani kuanzia kibali cha kuchoma mpaka bidhaa inaingia sokon....!!
Aksanten
Mkuu vipi huhitaji washiriki/ partners,Le
Nenda TFS, Omba kibali cha kuvuna mazao ya msitu shambani kwako, watakupa Kitu kinaitwa Forest Produce Allocation Certificate ya Mwaka mmoja bure, itabidi usajiriwe na kupata leseni ya kufanya biashara ya mazao ya misitu nadhani ni 250,000 baada ya hapo utaanza kuchoma Mkaa. Ukimaliza nenda ukaombe kibali cha kusafirisha Mkaa kwenda popote Tanzania ambapo kila gunia utalipia 12,500 baada ya hapo utakuwa huru kupeleka popote. Mimi nimefuata hayo na sasa niko shambani nachoma, nimepewa kibali cha kuvuna mkaa gunia 650 na nitauza popote kutakapokuwa na maslahi. Wateja karibuni
karibu sanaMkuu vipi huhitaji washiriki/ partners,
Kama sheria zote za uchomaji mkaa ni sawa, badi kuna vitu unakosa na inaweza kukusumbua baadae.Le
Nenda TFS, Omba kibali cha kuvuna mazao ya msitu shambani kwako, watakupa Kitu kinaitwa Forest Produce Allocation Certificate ya Mwaka mmoja bure, itabidi usajiriwe na kupata leseni ya kufanya biashara ya mazao ya misitu nadhani ni 250,000 baada ya hapo utaanza kuchoma Mkaa. Ukimaliza nenda ukaombe kibali cha kusafirisha Mkaa kwenda popote Tanzania ambapo kila gunia utalipia 12,500 baada ya hapo utakuwa huru kupeleka popote. Mimi nimefuata hayo na sasa niko shambani nachoma, nimepewa kibali cha kuvuna mkaa gunia 650 na nitauza popote kutakapokuwa na maslahi. Wateja karibuni
Tuwasiliane mkuuMkuu vipi huhitaji washiriki/ partners,
Angalia inboxTuwasiliane mkuu
Naomba namba yako ya simuLe
Nenda TFS, Omba kibali cha kuvuna mazao ya msitu shambani kwako, watakupa Kitu kinaitwa Forest Produce Allocation Certificate ya Mwaka mmoja bure, itabidi usajiriwe na kupata leseni ya kufanya biashara ya mazao ya misitu nadhani ni 250,000 baada ya hapo utaanza kuchoma Mkaa. Ukimaliza nenda ukaombe kibali cha kusafirisha Mkaa kwenda popote Tanzania ambapo kila gunia utalipia 12,500 baada ya hapo utakuwa huru kupeleka popote. Mimi nimefuata hayo na sasa niko shambani nachoma, nimepewa kibali cha kuvuna mkaa gunia 650 na nitauza popote kutakapokuwa na maslahi. Wateja karibuni
Nini kiliwapata mkuuKuchoma mkaa sikia tu story kwa watu, mambo ni mengi ukijichanganya hata kimtaji chako kitaenda na maji
Unaweza choma mkaa ukafika mpka mjini na ukawa chini ya kiwango madalali wakaukataa au wakachukua kwa bei ya kutupa.
Si kuna mwaka tulijichanganya, tena mpka miti ilikuwa bure ila kilichotokea sitaki hata kukumbuka.
Kifupi jipange, mkaa si lelemama.