M mymy JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 296 Reaction score 112 Mar 22, 2020 #1 Habari wadau. Nilikuwa na wazo la kufanya biashara ya kufungasha mchele kwenye kilo 5,10 na 20 na kuuza kwenye fremu. Je, kwa biashara ya aina hii natakiwa kuwa na vibali vya aina gani kutoka serikalini? Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau. Nilikuwa na wazo la kufanya biashara ya kufungasha mchele kwenye kilo 5,10 na 20 na kuuza kwenye fremu. Je, kwa biashara ya aina hii natakiwa kuwa na vibali vya aina gani kutoka serikalini? Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
ziggy alton New Member Joined Mar 6, 2020 Posts 1 Reaction score 0 Mar 22, 2020 #2 kijana hilo ni wazo zuli sana.sema kama unaeza naomba tuwasiliane kupitia hii namba whatsApp.0719448730
kijana hilo ni wazo zuli sana.sema kama unaeza naomba tuwasiliane kupitia hii namba whatsApp.0719448730
BigBaba JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,908 Reaction score 9,041 Mar 22, 2020 #3 ziggy alton said: kijana hilo ni wazo zuli sana.sema kama unaeza naomba tuwasiliane kupitia hii namba whatsApp.0719448730 Click to expand... Kaomba ushauli hazarani ili na watu wengine uwasaidie mpatie hapa hapa na wengine wanahitaji uwasaidie Sent using Jamii Forums mobile app
ziggy alton said: kijana hilo ni wazo zuli sana.sema kama unaeza naomba tuwasiliane kupitia hii namba whatsApp.0719448730 Click to expand... Kaomba ushauli hazarani ili na watu wengine uwasaidie mpatie hapa hapa na wengine wanahitaji uwasaidie Sent using Jamii Forums mobile app
sabuwanka JF-Expert Member Joined Apr 11, 2015 Posts 691 Reaction score 759 Mar 22, 2020 #4 Tupieni hapa tunufaike wote!
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,020 Reaction score 22,094 Mar 22, 2020 #5 Kwa uchache utaaitaji leseni ya biashara kutoka halmashauri na number ya mlipa kodi kutoka TRA Vingine wataongezeaa
Kwa uchache utaaitaji leseni ya biashara kutoka halmashauri na number ya mlipa kodi kutoka TRA Vingine wataongezeaa
M mymy JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 296 Reaction score 112 Mar 23, 2020 Thread starter #6 Tajiri Kichwa said: Kwa uchache utaaitaji leseni ya biashara kutoka halmashauri na number ya mlipa kodi kutoka TRA Vingine wataongezeaa Click to expand... Asante ndugu.... Sent using Jamii Forums mobile app
Tajiri Kichwa said: Kwa uchache utaaitaji leseni ya biashara kutoka halmashauri na number ya mlipa kodi kutoka TRA Vingine wataongezeaa Click to expand... Asante ndugu.... Sent using Jamii Forums mobile app
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,328 Reaction score 5,399 Mar 23, 2020 #7 mymy said: Asante ndugu.... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ongeza na hela ya kulipia au ada kwa mamlaka ya chakula nahisi Siku izi wanachukua TBS, zamani ilikuwa unalipia TFDA Sent using Jamii Forums mobile app
mymy said: Asante ndugu.... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ongeza na hela ya kulipia au ada kwa mamlaka ya chakula nahisi Siku izi wanachukua TBS, zamani ilikuwa unalipia TFDA Sent using Jamii Forums mobile app