Plot4Sale Biashara ya Kiwanja Mbande Dodoma

Joined
Feb 13, 2025
Posts
10
Reaction score
2
Habari wana JF,

Nina eneo nauza lipo Mbande Dodoma barabarani kabisa. Ukubwa ni heka 2.5 na linafaa kwa sheri au makazi na lina maji pamoja na umeme

Kwa anayehitaji tuwasiliane 0785670041
 
Duh! Mbona bei mkasi hivyo, naona nguzo za tanesco zimepita ndani ya kiwanja. Na hao ccm wanafanya nini tena humo, ndiyo wewe au ni madalali?
 
Ukipunguza Bei Nakuletea Wateja Tele

Hiyo Bei Kuuza Ngumu Sana Hala Upande Ni Road Reserves
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…