Biashara yoyote ni biashara kutegemea na wewe Mfanyaji.
Kama bado kuna Watu bado wanathubutu kuanzisha Viwanda vya maji ay dawa za mswaki pamoja na kuwepo kwa bidhaa kama hizo zenye majina sembuse hizo Keki?.
Ukiona biashara watu wanafanya jua ina faida sema viwango vya faida vinatofautiana kulingana na sababu lukuki, jifunze kwanza hiyo biashara ndo unaweza kuona zaid ya hapo