Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,360 Reaction score 5,846 Jan 13, 2015 #1 Ndugu wanajf,nilikuwa natafuta mtu mwenye masoko ya kaa nje ya nchi kama asia,ulaya na usa.nina mtaji wa kununua tani moja na kusafirisha,alafu faida itakayopatikana tunagawana .wasalaam
Ndugu wanajf,nilikuwa natafuta mtu mwenye masoko ya kaa nje ya nchi kama asia,ulaya na usa.nina mtaji wa kununua tani moja na kusafirisha,alafu faida itakayopatikana tunagawana .wasalaam