Mkuu hata mimi nilikuwa nahitaji sana kujua kuhusu hili na nimewahi kuandika post ambayo mpaka sasa haija changiwa. ceki linkhttps://www.jamiiforums.com/busines...ara-ya-injini-za-simu-circuit-motherbord.htmljamani habari ya jumapili, Natumai ni wazima wa afya. Kumezuka watu wanaoita na kununua sakiti za simu ambazo ni mbovu sasa haijajulikana wazi wanaenda kuzifanyia nini,na hata ukiwahoji hawatoi jibu la moja kwa moja. Wananunua kwa kupima kwa kilo. Je kama kuna mtu anataarifa na jambo hili ili atujuze na atuambie bei yake halisi mana wanaunua kwa bei ya elfu nne kwa kilo. Ni vema tukapata uwanja mpana wa kujua jambo hili. Nawasilisha.
jamani habari ya jumapili,
Natumai ni wazima wa afya.
Hiyo ni biashara haramu wananunua batteries za simu na simu vimeo wanaenda kuziwekea cover mpya kwa mabetri wanaweka karatasi mpya makaratasi hayo (stika)yanauzwa mtaa wa aggrey kwa sh 500.00 halafu huingiza dukani hapo mtaa wa aggrey ushahidi ni wiki iliyopita polisi walivamia mtaa huo na kukamata baadhi ya vifaa vya simu na kuyafungia maduka kibao mojawapo ni maduka mawili kona ya aggrey na likoma Kama unatoka msimbazi nyumba ya mwisho kulia kwenye kona mlamgo wa tatu na nne kutokea likoma walikutwa na betri kibao feki hivyo wanunuzi wa simu na vifaa hivyo wanatakiwa kuwa makini sana na ununuzi wa bidhaa hizo mtaa wa aggrey simu nyingi na vifaa vyake ni vimeo!
sidhani kama hizi saketi zinaweza kuvishwa housing na kuingizwa dukani.navyo sikia nikwamba wananua sakiti yoyote hata kama ndani haina ic hata moja.ninachozani hawa watakuwa wanapeleka china ku re-new kama ambavyo biashara ya vyuma chakavu inavyofanyika.
oya mimi nanunua huo mzigo. 0652 6771 35