Hii Biashara ni Nzuri bt inategemea mazingira. Mambo ya Simu za Internet na Compyuta binafsi vimeua hii biashara.
Kama Unataka kudanya hii Bisiness, Malengo Yarlekeze zaidi kwenye Stationery. Ila kama unataka kuifanya Nenda kwenye Wilaya zinazochipukia utapiga hela sana.
Bei ya Compyuta unaweza pata kwa Laki 3. Ni desktop nzuri tuu.