Biashara ya furniture za chuma

narrybezo

Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
22
Reaction score
9
Ninapenda kazi ya ufundi na sjajua nitaipandisha vipi kazi yangu ili inipe matunda naombeni ushauri wenu
 
Kuwa mkweli na muaminifu, mimi nilichonga kitanda kwa fundi mmoja aliniambia baada ya wiki niende kuchukua, nikaja kuchukua baada ya wiki tatu. Na hakijaisha bado ile mipira ya kushikilia bomba za kitanda
 
Kama una mtaji hii kazi itakufanya uwe milionea;tembelea wote wanaopaua nyumba zao na uwaambie unaweza kuwatengenezea madirisha na milango huku wakilipa kidogokidogo;fanya hivyo uje unishukuru baadaye.
 
Kama una mtaji hii kazi itakufanya uwe milionea;tembelea wote wanaopaua nyumba zao na uwaambie unaweza kuwatengenezea madirisha na milango huku wakilipa kidogokidogo;fanya hivyo uje unishukuru baadaye.
Changamoto ya kumdai mtu ni balaa... Watu ni wathenge thana unaweza filisika kuendekeza wadeni... Fanya cash hata kama ni taratibu
 
Mkuu kwanza acha kutengeneza vitu vinavyofanana look for designs sijui kitanda kima hiko utamuuzia nani, mi sinunui, kuwa tofauti, tengeneza standard kataa kazi za ovyo ovyo na upemdekeze kazi nzuri zaidi kwa mteja, ukishakuwa na standard products jitangaze platforms zipo nyingi mtandaoni na pia usiwe mbabaishaji
 
Upo sehemu gani Mkuu kama dar nikupe madini ufanye nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…