Kwa sababu nilinunua used siwezi jua exactly utauziwa sh. Ngap ila kwa makadilio pressure pump unaweza Pata Kati ya 250000-350000
Vacum 200000-300000
Hela ya kupanga(itategemeana na sehemu) 25000-75000
Vitambaa mi nianza na vitenge nadhani utapata kiurahisi
Tank dogo mi nilinunua used kwa 30000 (saiz ninalo kubwa)
Na cost ndogo ndogo ambazo unaweza mudu(japo mi niliziua kwa kufanya vitu vingi mwenyewe kama kufunga tank)