Mi car wash yangu Nina vitu viwili tu ndugu pressure pump ya black and decker na vacum basi biashara inarndaVipi kuhusu car washer?
Mkuu naona uneitoa kama mrejesho, sasa natamani nijifunze kwako, unaweza kutoa ABC?Wadau mwezi wa saba mwaka huu nilikua katika harakati za kuanzisha biashara ya car wash. Kama kawaida yangu nikaanza kufanya research sehemu mbali mbali hasa humu JF na kwa watu mbali mbali ambao walishanza kufanya. Nilikua na hela ndogo Sana kama laki 7 hivi. Katika kuhangaika hapa na pale nikawa naona mijadala ambayo ilikua inaonyesha kwamba pesa nyingi sana inahitajika nikataka nikakata tamaa. Sasa nikaamua kutembea kimtaa mtaa nikaanza kutafuta kitu hasa vile vya muhimu kama vacum na pressure kwa kutafuta kwa watu (used) nilisota mpaka kama mwezi wa nane hivi nikapata vacum moja na pressure moja. Nikapata eneo la kawaida Sana pale madale saiz business iko poa Kwa vitu hivyo viwili tu. Sisemi kwamba kila mtu anaweza fanikiwa, kwa kufanya hivyo bila bora kujaribu kuliko kudhani kwamba unahitaji vitu vingi au pesa kubwa.
Mjini vitu vingi vinawezekana ila ni kukosa muunganiko na watu wenye uzoefu wa hivyo vitu.
Natengeneza Kati ya laki 3 mpaka laki 4 kwa mwezi kwa Bei ya 5000 kwa gari, 4000 kwa bajaji na 2000 kwa boda bodaTupe ushuhuda umefanikiwa kiasi gani mkuu maana wengi husema inahitaji mamilioni kuanzisha car wash
namaanisha waoshaji. Ili utoe ajira maana hicho ni kiwanda.Mi car wash yangu Nina vitu viwili tu ndugu pressure pump ya black and decker na vacum basi biashara inarnda
Kikubwa unahitaji pressure pumb na vacum na vitamba kwa ajili ya kufutia. Na cha muhimu kuliko vyote ni uaminifu mana Wateja wanaacha vitu vyao hovyo ukiwa na mkono mrefu au kijana wako akiwa na mkono mrefu business inakufa chapMkuu naona uneitoa kama mrejesho, sasa natamani nijifunze kwako, unaweza kutoa ABC?
Nipo na waoshaji wawilinamaanisha waoshaji. Ili utoe ajira maana hicho ni kiwanda.
Wanao osha kwa ndoo na vitambaa ndo walinitia moyo, nikaona inawezekana kabisa yaniUkisikiliza maneno ya humu hautapiga hatua
wengine humu hawana hata Idea na jambo fulani lakini kwa vile yupo mafichoni atacomment lolote!
Hongera mkuu,
Mbona kuna wanaosha na ndoo zao tu na vitambaa!!
Ukihitaji mwingine just PMNipo na waoshaji wawili
Sawa kiongozi sawaUkihitaji mwingine just PM
Pressure nilinunu laki 250000 ikiwa mpya kama ile laki Sita na vacum lak 200000 ikiwa mpya sijui ila nadhani ni expensive zaidi ya hapoHivyo vifaa viwili ulinunua kwa bei gani?
Vikiwa vipya huuzwa shilingi ngapi
hongera sana mkuu, maji vp?? unapata wapiWadau mwezi wa saba mwaka huu nilikua katika harakati za kuanzisha biashara ya car wash. Kama kawaida yangu nikaanza kufanya research sehemu mbali mbali hasa humu JF na kwa watu mbali mbali ambao walishanza kufanya. Nilikua na hela ndogo Sana kama laki 7 hivi. Katika kuhangaika hapa na pale nikawa naona mijadala ambayo ilikua inaonyesha kwamba pesa nyingi sana inahitajika nikataka nikakata tamaa. Sasa nikaamua kutembea kimtaa mtaa nikaanza kutafuta kitu hasa vile vya muhimu kama vacum na pressure kwa kutafuta kwa watu (used) nilisota mpaka kama mwezi wa nane hivi nikapata vacum moja na pressure moja. Nikapata eneo la kawaida Sana pale madale saiz business iko poa Kwa vitu hivyo viwili tu. Sisemi kwamba kila mtu anaweza fanikiwa, kwa kufanya hivyo bila bora kujaribu kuliko kudhani kwamba unahitaji vitu vingi au pesa kubwa.
Mjini vitu vingi vinawezekana ila ni kukosa muunganiko na watu wenye uzoefu wa hivyo vitu.
Hapo hapo nilipopanga kuna chemchem kubwa Sana najaza tu kwenye tank, location pia muhimu mana inakupa unafuu wa gharama za majihongera sana mkuu, maji vp?? unapata wapi
Jumla mpk unaanza biashara ulitumia bei gani, na hizo mashine ulinunua wapPressure nilinunu laki 250000 ikiwa mpya kama ile laki Sita na vacum lak 200000 ikiwa mpya sijui ila nadhani ni expensive zaidi ya hapo
NashukuruKikubwa unahitaji pressure pumb na vacum na vitamba kwa ajili ya kufutia. Na cha muhimu kuliko vyote ni uaminifu mana Wateja wanaacha vitu vyao hovyo ukiwa na mkono mrefu au kijana wako akiwa na mkono mrefu business inakufa chap