kingawa1996
Member
- Nov 22, 2024
- 9
- 9
😅😅😅😅 umeandika kwa hisia sana, haya ni matatizo juu ya matatizo.Bajaj used ya milioni 5, yenye changamoto kibao umpe mtu mwenye shida kibao zitakazoanza kuitegemea Bajaj hiyohiyo akuletee elfu 15 au 20 daily. Na bado unatafuta ushauri ukiwa na Imani ya kupiga ela kupitia hiyo Bajaj.. Kweli bado tuna safari ndefu kufikia mafanikio kama taifa..
Mkuu kwa asilimia kubwa Bajaji ya Sh 5M itakua ni used imechoka na itakusumbua sanaHabari wanajJF, hivi bajaji ya mkononi ukampa mtu mkataba labda unaweza ukafanikiwa.
Walioanza kufanya biashara hiyo anipe ujuzi bajaji kama ya milioni 5 hivi
Ushauri wenu wanaJF
Kwa hesabu kwa siku unatakiwa upeleke bei gani na kww mkataba kwa siku bei gani na kwa mda ganiHabari,kwa boss anayehitaji kufanya biashara ya Bajaji iwe mkataba au hesabu kwa siku nipo tayari mimi ni dereva gari na Bajaji mtandaoni nina uzoefu wa miaka 2 katika hii kazi.Uwaminifu 💯%. 0654037276
Mwenye uelewa kuhusu hili suala ninaomba msaada tutaniKwa hesabu kwa siku unatakiwa upeleke bei gani na kww mkataba kwa siku bei gani na kwa mda gani
Bila kujua mahali ulipo ni ngumu kupata jibu linlokufaa.Mwenye uelewa kuhusu hili suala ninaomba msaada tutani