Mkuu,binafsi sijawahi kufika Bariadi lkn inavyosemekana Bariadi ni kitovu cha kibiashara kwa kanda ya ziwa
Pia,wenyeji inavyosemekana wanatumia sana vizizi (ndagu)
Nakushauri uende kwanza wewe nwenyewe ukayaone mazingira kabla ya kuhamisha biashara zako!