Popcorn please. ... nimesha vaa ile miwani ya 3d hapaBi hindu na mwenzake Bi chau hawa ni wazee wenye miili mizuri wanazeeka na utamu wao.
Wana mapendo kwakweli mioyo yao ina amani
Kuna mwingine full visirani sasa hivi hata hajazidi 45 ameshaota makunyanzi FaizaFoxy
Mluguru. Waluguru na Wazaramo ni.kama.wasukuma na wanyamwezi..Infact wakati wazaramo wanatoka kwao Iringa walipitiaga Morogoro waka settle.pale kwa muda baadae wakatawanyika wengine wakaelekea.mkoa wa Pwani.na Darusalama.hivi kabila gani huyu bibi, maana anaongea si mchezo.
Sawa bi Hindu tumekuelewaNimemsikia sehemu leo akitaja mwaka.alio zaliwa. Anasema amezaliwa tarehe 27 mwezi wa 10 mwaka 1939.
Mzee Mkapa anamzidi Bi Hindu mwaka.mmoja tu!!!!
She is eleven years older then my father and 16 yrs older then.my mother.
I used to think she was just born in the 1950s.
Yani tarehe 27 October mwaka huu panapo majaaliwa yake Allah Bi Hindu anafikisha miaka themanini!!!
Masha'Allah . She looks 20 years younger than her age.
Huyu bibi ni Chuma kama lilivyo jina lake.
Bi Hindu wafundishe dada zetu vyakula ulivyo kua unakula.
Kuna mdada nilimaliza nae darasa la saba mwaka 1998 sasa hivi anaonekana.kama mmama.wa miaka 48.
Uongo wa empty skulledMluguru. Waluguru na Wazaramo ni.kama.wasukuma na wanyamwezi..Infact wakati wazaramo wanatoka kwao Iringa walipitiaga Morogoro waka settle.pale kwa muda baadae wakatawanyika wengine wakaelekea.mkoa wa Pwani.na Darusalama.
Walio baki Moro ndio hao Waluguru
So basically Bi Hindu ni Mzaramo
Bi chau wa kitambo sana.Bi hindu na mwenzake Bi chau hawa ni wazee wenye miili mizuri wanazeeka na utamu wao.
Wana mapendo kwakweli mioyo yao ina amani
Kuna mwingine full visirani sasa hivi hata hajazidi 45 ameshaota makunyanzi FaizaFoxy
Nikiwa mdogo nilikuwa najua Bi chau ni mke wa Marehemu mzee small,walikuwa wanapatana sana katika kazi zao.Bi chau wa kitambo sana.
Una mingapi ?π π π π π€π€