BG mbona wako fair,nilishafanya on line niliishia second stage,ingine nilifanya chini ya local recruitment agency ambayo nilitolewa KO ,maana nilikutana na vichwa hatari nikakubali matokeoKama kuna mtu ameshawahi fanya online numerical/verbal tests za hawa jamaa BG group katika ile program yao ya undergraduate anaweza niunga mkono.
Unakuta test ni ya calculation mfano, hafu muda unapewa dakika chache sana wakati maswali yapo lukuki. Mfn: Maswali 18 unapewa dakika 25.
Inafikia stage, unaanza ku guess majibu ili uweze submit tu.
Mi nadhani wamefanya hivi ili vichwa panzi ma slow learner tusipass.
BG mbona wako fair,nilishafanya on line niliishia second stage,ingine nilifanya chini ya local recruitment agency ambayo nilitolewa KO ,maana nilikutana na vichwa hatari nikakubali matokeo
ila kwa sasa tuvute subira maana bado ata gas &oil exploration hawajaanza,ndio maana nafasi ni chache sana, bado natamani siku moja nifanye kazi huko!