Watu wengi hawaelewi ni nini maana ya laptop wanafikiri ni kama dvd player au media instrument
Maana halisi ya battery ya laptop ni kukusaidia kuitumia wakati upo sehemu ambayo haina umeme au kuwahi kuhifadhi data zako bila kupoteza pale unapokatika umeme na unapoitumia kwa umeme inajuwa na kukunyesha wakati huu inatumia nishati gani hiyo basi jaribu kuepusha matumizi ya laptop yako kupigia sana DVD wakati unaitumia na battery
hii itasaidia maisha ya battery yako otherwise utaimaliza haraka sana