Unapatikana wapi, una ofisi au unauzia nyumbani au unatembeza.?
Jitangaze vizuri, maana watu tumetapeliwa sana humu......... Nahitaji 5s iwapo maelezo yako yatanyooka.
Sure mkuu..
Uko sahihi
Na kun usemi unasema wasiwasi ndo akili...
Mm ni kijana tuu..
Na kamtaji ketu ka kuuza kuku na familia yangu..
Tumeingia kwenye biashara ya hizi bidhaa almost kama miezi minne sasa tangu tuanze..
Napatatikana dar es salaaam.
Mawasiliano 0654766056..
Nauza online..
Natafuta wateja huku na huku..
Na pale mteja anapo tokea,
Huwa kuna kuwa na option mbili tuuu..
Mteja Asogeee Nyumbani auziwe device anayo taka.
Au Apelekewe alipo lakini kwa shart moja tuu kuwa atalipia usafiri yeye..
Kwa sababu sifanyi free delivery..
Na kwa yule ambaye atakuwa kuwa bado ana hofu..
Baasi atasema yeye ni eneo gani ambalo ataona yupo Salama kufanya biashara..
Tutaonana hapo lakini safari hii,
usafiri tunachangiana..
Kwa
Mtu ambaye ni mteja kabla haja lipia mzigo wake lazima atakagua kama je ni sawa na ule alio uona kwenye picha au video..
baada ya kuridhika na kukubali kulipia baaaasi nachukua information za bidhaa zangu kama imei number etc..
Then nakupa muda wa mwezi mmoja ..
Kama ukikuta device ina tatizo baasi unaweza kurudisha before ndani ya ule mwezi tulio peana..
Na ukirudisha tuki confirm tatizo unapewa mzigo mwingine..
Lakini information za simu zifanane na ile niliyokuuzia...
Ni hayo tuu mkuu..
Sijui kama nimejieleza vizuri..
KARIBU