Besigye ni kati ya wagombea ambao anampa changamoto kubwa sana Rais Museveni kwa nafasi ya kuwanai kiti cha Uraisi uchaguzi wa 2016. Mgombea wa nafasi ya urais kutoka FDC (Forum for democratic change) DR, Kizza Besigye, amesema hana kisasi binafsi na msiri wake wa zamani wa chama cha NRM(National Resistance Movement).