mimi shabiki wa yanga lakini huyo Morrison ni mchezaji wa kawaida sana tena sana hana kiwango hata cha kumgusa mapinduzi balama, ila ushamba wa mashabiki wa yanga, viongozi na huyo sijui msemaji wa yanga au gsm hata haijulikani ndo vimemfanya huyo morrison avimbe na kudharau klabu yetu kubwa, nasisitiza kwa sasa yanga ina viongozi washamba, wahovyo, hawajielewi, wapowapo tu yaani nakosa hata maneno mengine ya kusema ila Yanga katika awamu hii ina viongozi wa hovyoooo kabisa kuliko wakati wowote tangu ianzishwe hii timu.Naona kuna juhudi kubwa za wana Mikia kuona BM anatimuliwa Yanga ili waokote dodo.
Ni kweli BM ni chizi kabisa, lakini Mikia na yeye mwenyewe wajue dili la kujiunga na Mikia watalisikia redioni tu.
Labda wajisalimishe kwa Wananchi ili mauzo yafanyike kwa mujibu wa taratibu. Vinginevyo, ana miaka miwili ya kusota na kukatwa mshahara kila wakati.
Aliamua kucheza chini ya kiwango ili kuiprovoke Yanga. It won't work!
sasa kama ameshindwa kufanya lolote mbele ya kapombe aiyechomwa masindano ya ganzi unasemaje mchezaji hatari?Simba hawana mchezaji wa kiwango Cha Morrison. Ukiacha matatizo yake ya nje ya Uwanja Morrison si mchezaji wa kucheza soka katika ukanda huu wa Afrika Mashariki. Timu mzima ya Simba pamoja na Mwekezaji wao wote wanamwogopa Morrson, ilibidi Kapombe apigwe masindano ya ganzi ili arudi uwanjani kwa kumhofia Morrison.
ulichokisoma naalichosema huyo kocha ni kweli kweli kabisa jamaa hamnakitu, Yanga tunashangilia akipanda juu ya mpira wakati hata ngassa alivyokuwa katika ubora wake alipanda pia.NIMESOMA JANA HABARI kwa nini kocha wa orlando pirates alimuacha, ukiachilia mbali tukio la wizi wa magari, jamaa alichezea pirates mechi 4 tu kuna siku akajiangusha uwanjani bila kuchezewa rafu kocha mturuki kwa hasira akamtoa nje kabisa na tangu siku hiyo hakupangwa tena..kocha baadaye akasema jamaa ni mzuri kwa game la show off na akiwa na mpira ila kama hana mpira hana msaada kwa team hata kukaba hajui ndicho kilichotokea juzi
Mwaka huu lazima muwe wachambuzi maana 4G imewachanganya akiliNimetenganisha vitu viwili. Talent na Attitude.
La kwanza ni maoni ya kila mtu. Unaweza kuona talent lakini mwingine anaona average player. Attitude haina mjadala.
Combination ya talent na proper attitude humfanya mchezaji kuwa bora.
Tusisanganye. Mikia wanamtaka by hooks and crooks. Wanadhani watamudu attitude yake.
Opinion kuhusu ubora wa mchezaji siku zote ni mawazo ya mtu binafsi.mimi shabiki wa yanga lakini huyo Morrison ni mchezaji wa kawaida sana tena sana hana kiwango hata cha kumgusa mapinduzi balama, ila ushamba wa mashabiki wa yanga, viongozi na huyo sijui msemaji wa yanga au gsm hata haijulikani ndo vimemfanya huyo morrison avimbe na kudharau klabu yetu kubwa, nasisitiza kwa sasa yanga ina viongozi washamba, wahovyo, hawajielewi, wapowapo tu yaani nakosa hata maneno mengine ya kusema ila Yanga katika awamu hii ina viongozi wa hovyoooo kabisa kuliko wakati wowote tangu ianzishwe hii timu.
Hii series tunasubiri mwisho wakeNaona kuna juhudi kubwa za wana Mikia kuona BM anatimuliwa Yanga ili waokote dodo.
Ni kweli BM ni chizi kabisa, lakini Mikia na yeye mwenyewe wajue dili la kujiunga na Mikia watalisikia redioni tu.
Labda wajisalimishe kwa Wananchi ili mauzo yafanyike kwa mujibu wa taratibu. Vinginevyo, ana miaka miwili ya kusota na kukatwa mshahara kila wakati.
Aliamua kucheza chini ya kiwango ili kuiprovoke Yanga. It won't work!
Yote hayo ni kielelezo cha uchizi wake unaochochewa na wajinga.Hii series tunasubiri mwisho wakeView attachment 1506359
Kuna waghana walichezea Simba wakaondoka vizuri, azam wana waghana pia hamna tatizo ila vichekesho kama hivyo utavikuta utopolo tuUkiwajua waghana vizuri hautashangazwa na tabia hii ya Morrison.
Asamoah alikuwa Yanga na hakuwa na upuuzi huo.Kuna waghana walichezea Simba wakaondoka vizuri, azam wana waghana pia hamna tatizo ila vichekesho kama hivyo utavikuta utopolo tu
Nilikuwa namjibu huyu anayesema kawa huwajui waghana hizo ni tabia zao lakini kuna waghana wengi wamepitia hapa hawajawahi kuonyesha tabia kama ya MorisonAsamoah alikuwa Yanga na hakuwa na upuuzi huo.
Unasemaje kwa AS Vita, Orlando Pirates? Reason first!
Bado hujawaelewa waghana vizuri.Kuna waghana walichezea Simba wakaondoka vizuri, azam wana waghana pia hamna tatizo ila vichekesho kama hivyo utavikuta utopolo tu
Huyu Mwizi pale Simba anacheza namba ya nani kwa mfano?[emoji23][emoji23]Kama Morrison sio mkali kwa apa bongo, Sasa waliobaki utasemaje? Morrison ni mkali kwakua bongo wachezaji wetu ni wakawaida sana. Morrison anatabia mbovu Ila mpira wake ni mkubwa kuliko wachezaji wengi. Kwa namba anayocheza apa TZ yeye ni mkali. Labda angerudi Lunyamila ndiye angemweka nje Morrison Ila kwa kizazi hiki atawaburuza sana.
Baada ya maumivu ya 4g kupoa mkuu,Ku type na kupost imepangwa kuanzia muda gani?
Simba haina mpango wa kusajiri huyo kibaka,Nimetenganisha vitu viwili. Talent na Attitude.
La kwanza ni maoni ya kila mtu. Unaweza kuona talent lakini mwingine anaona average player. Attitude haina mjadala.
Combination ya talent na proper attitude humfanya mchezaji kuwa bora.
Tusisanganye. Mikia wanamtaka by hooks and crooks. Wanadhani watamudu attitude yake.
Tulia dawa ikuingieMikia wameshinda uwanjani wana haki ya kusema,lkn walichofanya huko nje ya uwanja kwa baadhi ya wachezaji wa Yanga akiwemo huyo morrison ni hatari,ila watu wameamua kukaa kimya sababu jamaa ndio washashinda
Huyu jamaa asipoangalia ataachwa na yanga na simba pia ikampotezea,halafu akakosa nauli ya kurudi na akaanza mambo yake ya uwizi .Hii series tunasubiri mwisho wakeView attachment 1506359