Ni HATARI KUBWA serikali kushughulikia ushoga KISIASA.
Wasipoweza maliza tatizo watakuwa ndio wamelipromot tena vibaya sana.
Nenda Facebook kaangalie hii biashara ilivyo kubwa, inasikitisha sana.
Mwenye nguvu akishindwa kutumia nguvu yake hudharauliwa. Muda utaongea
Nmekuelewa mleta uzi.