8500 kwa debeWakuu tusaidiane bei hzi za haya mazao eneo ulilopo...
Kibiashara zaid .....
Lengo ni kucheza na faida tu..
Inapobidi na kimchanganuo...kdogo..gharama ya usafir kwa gunia.ushuru...etc...itakua vzur wakuu
Na kama hamtachangia uzi huu ntaelewa pia....maana nyuz kama hzi hampendag...ndomana mi napoleone huwa naweka nyuz za ujinga ujinga.
Sasa huu ni uzi wa mwisho...msipochangia itanibid niendeleze nyuz zangu zile za ujinga ujinga
Maana nshaleta sana nyuz humu za namna hii watu hawachangii...ila nkiweka nyuz za shemej yao wanajaa
Uzi tayar...(usinijudge lakin)
anza na hapo ulipoWakuu tusaidiane bei hzi za haya mazao eneo ulilopo...
Kibiashara zaid .....
Lengo ni kucheza na faida tu..
Inapobidi na kimchanganuo...kdogo..gharama ya usafir kwa gunia.ushuru...etc...itakua vzur wakuu
Na kama hamtachangia uzi huu ntaelewa pia....maana nyuz kama hzi hampendag...ndomana mi napoleone huwa naweka nyuz za ujinga ujinga.
Sasa huu ni uzi wa mwisho...msipochangia itanibid niendeleze nyuz zangu zile za ujinga ujinga
Maana nshaleta sana nyuz humu za namna hii watu hawachangii...ila nkiweka nyuz za shemej yao wanajaa
Uzi tayar...(usinijudge lakin)
Hii bei inaonekana nzuri. upatikanaji wake hayo mahindi ukoje?Kwa huku mkoa wa manyara wilaya ya hanang gunia la mahind kilo mia n elf 50
upatikanaji n rahc maan huku n kweny mashamb moja kwa moja n wewe tu usafr wakoHii bei inaonekana nzuri. upatikanaji wake hayo mahindi ukoje?
Bei ya lini hii??Manzese 57-60.........
Mkuu bei huko sahivi ipoje?upatikanaji n rahc maan huku n kweny mashamb moja kwa moja n wewe tu usafr wako