Bei ya Tecno L 9 plus

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,631
Reaction score
5,023
Wadau kwa anayejua bei ya hiyo simu tajwa kwa Dar dukani nauzwaje anisaidie maana mara ya kwanza kuna jamaa aliniambia 320,000/= lakini leo kuna mtu kanambia ni 220,000/= msaada kwa anayejua nataka ninunue hii simu
 
280k
 
Duu nashukuru
kwani unataka kununua TECNO ? ndugu unayajua matatizo ya tecno au unayasikia kuna simu juzi kati jamaa amenunua TECNO CAMON CX KANAMBIA IMEBUMA NASHANGAA NAWE UNAKIMBILIA TECNO
 
kwani unataka kununua TECNO ? ndugu unayajua matatizo ya tecno au unayasikia kuna simu juzi kati jamaa amenunua TECNO CAMON CX KANAMBIA IMEBUMA NASHANGAA NAWE UNAKIMBILIA TECNO View attachment 683645
Nayaju matatizo ya Tecno lakini nazipenda tu ivyoivyo napenda muundo wake yani muonekano wake pia napenda na ukubwa wa kioo nilikuwa naipenda C8 lakini baada ya kuiona hii L9+ nimeikubali appearance yake ndomana nataka niinunue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…