J jonas2011 JF-Expert Member Jan 25, 2011 300 111 Dec 27, 2013 #1 Wadau naomba kujuzwa bei ya power bank kwa ajiri ya kuchajia cm,Ni bei gan kwa wastani na zinapatikana wap?
Wadau naomba kujuzwa bei ya power bank kwa ajiri ya kuchajia cm,Ni bei gan kwa wastani na zinapatikana wap?
Ilisolokobwe JF-Expert Member Jul 29, 2013 1,850 803 Dec 27, 2013 #2 si kila simu ina power bank wewe una simu aina gani
J jonas2011 JF-Expert Member Jan 25, 2011 300 111 Dec 27, 2013 Thread starter #3 samsang galaxy mukuu
baraka607 JF-Expert Member Aug 2, 2010 844 165 Dec 27, 2013 #4 jonas2011 said: Wadau naomba kujuzwa bei ya power bank kwa ajiri ya kuchajia cm,Ni bei gan kwa wastani na zinapatikana wap? Click to expand... Elfu 50.
jonas2011 said: Wadau naomba kujuzwa bei ya power bank kwa ajiri ya kuchajia cm,Ni bei gan kwa wastani na zinapatikana wap? Click to expand... Elfu 50.
mfianchi Platinum Member Jul 1, 2009 11,867 8,274 Dec 27, 2013 #5 Check kwenye facebook EasttoEast trading
K kicha JF-Expert Member Jul 13, 2011 590 828 Dec 27, 2013 #6 Ilisolokobwe said: si kila simu ina power bank wewe una simu aina gani Click to expand... Ni vyema kukaa kimya kama huelewi
Ilisolokobwe said: si kila simu ina power bank wewe una simu aina gani Click to expand... Ni vyema kukaa kimya kama huelewi
J jonas2011 JF-Expert Member Jan 25, 2011 300 111 Dec 28, 2013 Thread starter #7 Thanks mkuu nimeona..