Chipukizi eeeh, hujalitendea haki jukwaa!! Hebu toa dondoo tuzielewe kidogo hizi mashine catalogue zake na bei ili tupate shule ya JF then kwa watakaonogewa nazo watawasiliana na wewe kuweza kuzipata. Mi mwenyewe nazihitaji ila sijui a wala b, na wala nilikuwa sijui wapi pa kuzipata mkuu. Ni hayo tu bana, funguka mkuu