Hekaya za Abunuasi
Senior Member
- Jan 6, 2014
- 166
- 38
Yameshuka kwel kama ni mtumiaj wa hiyo nishat utakuwa umeliona hlo
Yameshuka kwel kama ni mtumiaj wa hiyo nishat utakuwa umeliona hlo
yameshuka nchini zingine duniani,hapa hayawezi kushuka,sanasana yatapanda bei,chezea ccm wewe???
Hapa kwetu ni majanga, hakuna wa kumushikia paka kengere. Tutaendelea kuchunwa tu hata kama yameshukaWakuu ni wiki takriban ya pili sasa nimesikia kuwa bei ya mafuta kwa soko LA dunia umeshuka kwa 40%. Kama ni kweli mbona mafuta bado tuna uziwa kias cha Tsh 2029 kwa Lita? Au serikali yetu haijajua kuwa kuna punguzo la hiyo asilimia. Mwenye taarifa sahihi atujuze.
Chanzo cha taarifa hii ni BBC
Kwa lugha za kuwafanya watz mazuzu kuna kituo kimoja cha mafuta njia ya bagamoyo wanauza bei ya chini kiasi 1890 but wameandika ni OFFER, nn maana yake hiyo kitu?
Kwa lugha za kuwafanya watz mazuzu kuna kituo kimoja cha mafuta njia ya bagamoyo wanauza bei ya chini kiasi 1890 but wameandika ni OFFER, nn maana yake hiyo kitu?
matajiri wa mafuta watachangia thithiem uchaguzi. punguzo itakua danganyatoto halafu watapata faida kubwa kuliko mchango waliotoa kwa sisiem.yameshuka nchini zingine duniani,hapa hayawezi kushuka,sanasana yatapanda bei,chezea ccm wewe???
unajua hapa Tz kuna mfumo mkubwa wua ununuaji wa mafuta (bulk procurement supply) kama sikosei. Na huu mfumo unanunua mafuta ya kutumia karbia miezi mitatu mbele, sasa wakati bei ya pipa la mafuta imeshuka kwa 40% huku bado yanatumika yale yaliyonunuliwa wakati bei haijashuka, nafikiri hii yaweza kuwa mojawapo ya sababu,
Yakipanda mbona wa wanapandisha siku hiyo hiyo?
Yakipanda mbona wa wanapandisha siku hiyo hiyo?
Bado hiyo bei kubwa,inatakiwa yauzwe kwa 1300 per ltr.