NetworkEngineer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,974 Reaction score 1,210 Jun 11, 2014 #1 Nahitaji mwenye kujua sehemu naweza kupata flash kwa ya jumla kwa dar-es-salaam, na bei zake,nahitaji kwa ajili ya kuuza mkoani kwetu.
Nahitaji mwenye kujua sehemu naweza kupata flash kwa ya jumla kwa dar-es-salaam, na bei zake,nahitaji kwa ajili ya kuuza mkoani kwetu.
mamakibunju JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,009 Reaction score 223 Jun 11, 2014 #2 Ninazo za 8gb aina ya sandisc ziko 21 kama vp ni pm tuongee biashara
M mtengwa JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 1,604 Reaction score 872 Aug 6, 2014 #3 abbaczo said: Nahitaji mwenye kujua sehemu naweza kupata flash kwa ya jumla kwa dar-es-salaam, na bei zake,nahitaji kwa ajili ya kuuza mkoani kwetu. Click to expand... kaka ulipata flash disc? kama bado unatafuta nauza toshiba flash disc made in Philippines with 5 years warranty 8 gb 10000 4 gb 8500.
abbaczo said: Nahitaji mwenye kujua sehemu naweza kupata flash kwa ya jumla kwa dar-es-salaam, na bei zake,nahitaji kwa ajili ya kuuza mkoani kwetu. Click to expand... kaka ulipata flash disc? kama bado unatafuta nauza toshiba flash disc made in Philippines with 5 years warranty 8 gb 10000 4 gb 8500.
M mtengwa JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 1,604 Reaction score 872 Aug 6, 2014 #4 mamakibunju said: Ninazo za 8gb aina ya sandisc ziko 21 kama vp ni pm tuongee biashara Click to expand... bado uko na mzigo au umeisha? kama umeisha nicheki 0777883861 nikuongezee mzigo kwa bei ambayo utapata faida na wewe
mamakibunju said: Ninazo za 8gb aina ya sandisc ziko 21 kama vp ni pm tuongee biashara Click to expand... bado uko na mzigo au umeisha? kama umeisha nicheki 0777883861 nikuongezee mzigo kwa bei ambayo utapata faida na wewe
IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Aug 6, 2014 #5 abbaczo said: Nahitaji mwenye kujua sehemu naweza kupata flash kwa ya jumla kwa dar-es-salaam, na bei zake,nahitaji kwa ajili ya kuuza mkoani kwetu. Click to expand... Ndugu tupigie au wasiliana nasi ili upate flash disk, memory cards, powerbanks nk. Titakusambazia kwa bei nzuri sana Meseji/whasapp/piga 0754 734009.
abbaczo said: Nahitaji mwenye kujua sehemu naweza kupata flash kwa ya jumla kwa dar-es-salaam, na bei zake,nahitaji kwa ajili ya kuuza mkoani kwetu. Click to expand... Ndugu tupigie au wasiliana nasi ili upate flash disk, memory cards, powerbanks nk. Titakusambazia kwa bei nzuri sana Meseji/whasapp/piga 0754 734009.
mamakibunju JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,009 Reaction score 223 Aug 7, 2014 #6 mtengwa said: bado uko na mzigo au umeisha? kama umeisha nicheki 0777883861 nikuongezee mzigo kwa bei ambayo utapata faida na wewe Click to expand... Me UnLimited Nimeshaingiza container nina tender na kampuni fulani fulani siwezi kuzigaja due to security reasons na personal interest...!
mtengwa said: bado uko na mzigo au umeisha? kama umeisha nicheki 0777883861 nikuongezee mzigo kwa bei ambayo utapata faida na wewe Click to expand... Me UnLimited Nimeshaingiza container nina tender na kampuni fulani fulani siwezi kuzigaja due to security reasons na personal interest...!