eligi karoli
Member
- Jun 10, 2016
- 57
- 14
Hivi inaruhusiwa kuuziana mita za tanesco??? Sidhani sidhaniWapendwa nawasalimu nyote
Naomba kwa anayefahamu bei mpya za mashine ya luku ya umeme kulingana na aina zake na viwango vyake ..maana nataka kununua hiyo mita kwa matumiz ya salon yangu peke yangu ......kama upo Mwanza na unayo tafadhali tuwasiliane kwa namba 0762892877..chondechonde isiwe yenye figisu maana usumbufu sitaki
NAOMBA KUWASILISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli pesa hiyo? anayejua na mchanganuo wake tafadhari?310,000
hapo wanakuja adi kwako kukufungia mkuu
Ni kweli pesa hiyo? anayejua na mchanganuo wake tafadhari?310,000
hapo wanakuja adi kwako kukufungia mkuu
Nenda Tanesco watakupa!Ni kweli pesa hiyo? anayejua na mchanganuo wake tafadhari?