Ni kweli Mkuu, lakini kkumbuka na hapa tuko mtandaoni pia, na yeye ni moja ya mamilioni ya architects duniani, tuwakubali vijana jamani, kama unahtaji kweli unamtembelea ofisini kwake, au unamwambia akutumie profile. Mimi nilijua mkuu
Washawasha ameona hiyo michoro extact sehemu, hiyo kweli ingekuwa uzembe na udanganyifu.