Wadau kuna Beach plot ekari 100 inauzwa Mtwara (inapakana na eneo alilonunua Waziri mwenye dhamana ya mishahara ya wafanyakazi wa serikali).
Inauzwa sh. 100,000,000 Tshs kwa jumla.
Iko karibu na Mikindani (Kaskazini - Magharibi mwa Mikindani). See google map.
Just 15-20 minutes from Mtwara town by an automobile. (West of Mtwara town)
tugaie data kamili kaka watu tuchangamkie! mjini kumetushinda!! tunaweza kupata eka chache tu!! weka na namba za simu ili mawasiliano yawe ya kasi! kama vipi ni inbox
tugaie data kamili kaka watu tuchangamkie! mjini kumetushinda!! tunaweza kupata eka chache tu!! weka na namba za simu ili mawasiliano yawe ya kasi! kama vipi ni inbox