Rip parents
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 219
- 192
Bwawa kubwa ndio humwagilia mashamba ya zabibu !Kweli dunia haiko fea ndio beach ndio hii kuna miti mikubwa bila majani, na hayo Maji si kidimbwi tu cha msimu,au labda useme eneo la kuota jua kama kenge
Hahahaha,kenge tenaKweli dunia haiko fea ndio beach ndio hii kuna miti mikubwa bila majani, na hayo Maji si kidimbwi tu cha msimu,au labda useme eneo la kuota jua kama kenge
Lina urefu mkubwa tuu takribani km 20Kweli dunia haiko fea ndio beach ndio hii kuna miti mikubwa bila majani, na hayo Maji si kidimbwi tu cha msimu,au labda useme eneo la kuota jua kama kenge
Umefanya makusudi kuliita bwawa, beach au ndiyo mambo yakuchanganya birthday na happy birthday.Heka 5
6m
Hati ya kijiji Hombolo!
Haina DALALI
BARABARA mpaka site!
Bamboos trees !
Ndega wazuri WA aina mbalimbali
Km 35 toka Mjini Dodoma
Km 1 toka BARABARA juu ya Hombolo!
The future is not far!
Wahi mapema!
Simu 0755695066
!
6m Mkuu!Mbona bei kubwa sana million 9 kwa kijijini huko??? Hebu fikiria tena hiyo bei
Kwanini Mkuu!?Nawahurumia hao ndege wa aina mbalimbali
Mbona bei kubwa sana million 9 kwa kijijini huko??? Hebu fikiria tena hiyo bei
Kwa sababu watu watakapo ongezeka karibu nao itabidi wahame kwa lazima.Kwanini Mkuu!?
Uzuri hawaogopi watu!Kwa sababu watu watakapo ongezeka karibu nao itabidi wahame kwa lazima.
Hapo bomoa bomoa ya vichali vyao itahusika na hakuna fidia kama kawaida.
Mkuu usijali sana viwanja vitauzika ila hao ndege wataondoka
Uelekeo WA dar!Hombolo iko upande gani kwa hapo Dodoma