Be proud of yourselves.......africans!

cataliya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
458
Reaction score
361
AFTERNOON MMU

Napenda kusema jamani watanzania tujikubali tu!!!!!
kuna kitu cha nishangaza kwann tunawapa majina ya kidhungu watoto wetu wakati majina asili yapo na maana zake? kawnn tucwe kama wanigeria kwa jina tu wamtambua mtu asili yake!!!!

hivi umetafakari kizazi kijacho watajua kweli asili yao!!!! kwa mfano black americans laiti hao mabibi na mababu zetu wangewapa majina ya kibantu kipinda hicho hata kwa siri tu wajuane wao kwa wao, leo hii si wangeweza kutafuta asili yao kwa kujua tu!!!!!!

najua deep inside wanatamani kujua kizazi chao na wametokea wapi hasa, tatizo aanzie wapi kama jina lenyewe ni CATALIYA CLEMENCE HUTERBURG!!!! Akifanya ufatiliaji anakuta jina ni la mababu ya kidhungu!!!!!!!

LETS PRESERVE OUR CULTURE FOR THE NEXT & NEXT GENERATION!!!!!




NI UTUMWA KUIFUNIKA ASILI YETU KATI MATENDO TU YAJISEMEYA!!!!! SISI NI WAAFRICA NA HAITABADILIKA MPAKA UKAMILIFU WA DAHARI!!! JIKUBALI NA UKUBALIKE.
 
Ndio maana mimi naitwa KABULA...!!
 
Sio kwenye majina tu. tuache kuvaa nguo za pamba na turudi kwenye nguo za magome ya miti.
Tuachane na internet turudi kwenye kuandika kwenye mawe
Tuachane na formal education na turudishe jando na unyago
Tubomoe makanisa na miskiti na turudi kwenye matambiko na dini zetu za asili
 
Ilo jina yako juu ya avatar ni la kizungu au la kilugha?
 
""What's in a name? That which we call a rose by any other name would smell as sweet" - William Shakespeare

Si majina yanayopoteza asili yetu. No ni tabia na mienendo ya mtu. Mbona wazee walipewa majina ya kizungu na hawakupoteza asili yao. Mbona baba wa taifa aliitwa Julius. Na alibaki na mila na tamaduni za mtanzania.
 
^^
Wazo zuri ingawa tayari limeachwa na basi la dot.com
^^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…