D dullavirux Member Joined Sep 11, 2016 Posts 38 Reaction score 8 Oct 14, 2016 #1 -Kati ya hizo program mbili ipi yenye wigo mpana kwenye kusoma? -Ipi yenye wigo mpana kwenye ajira na kujiajiri? -Ipi ni ngumu na ipi ni rahisi? Mawazo yenu wadau bila kuangalia inatolewa kwenye chuo gani.
-Kati ya hizo program mbili ipi yenye wigo mpana kwenye kusoma? -Ipi yenye wigo mpana kwenye ajira na kujiajiri? -Ipi ni ngumu na ipi ni rahisi? Mawazo yenu wadau bila kuangalia inatolewa kwenye chuo gani.
nkanga chief JF-Expert Member Joined May 31, 2016 Posts 2,084 Reaction score 1,623 Oct 14, 2016 #2 acounting iko gud
S Bizzle Member Joined Oct 8, 2016 Posts 61 Reaction score 32 Oct 14, 2016 #3 Achana na hizo kozi za kizamani bob.. nenda kapige BAF.. MZUMBE au ARDHI... Bcomm utakuwa bank teller hadi uombe dunia ipasuke..
Achana na hizo kozi za kizamani bob.. nenda kapige BAF.. MZUMBE au ARDHI... Bcomm utakuwa bank teller hadi uombe dunia ipasuke..