Msaada wakuu utofauti wa hizi kozi,ipi iko poa,markertable na hata kujiajiri?!!!
Nimemaliza diploma ya accounting nashukuru matokeo mazuri.nakaribisha mawazo na ushauri wakuu ahsanteh.
Kaka nahitaji mengi kujua kuhusu sua na nikatika hiyo field ya agribusiness ndo my 1st priority check me umo tusaidiane ata kwa mawazo (cycorobar@yahoo.com)