HabariChademamara
Senior Member
- Apr 6, 2015
- 113
- 91
hapo hakuna fisi, hapo hakuna hata J. MNYIKA (Mb), sasa angekuwa mbowe sijui pangekuwaje??
Bado Bavicha Haifanyi Vile Inavyo Takiwa. Wanatakiwa Kuugawana Mkoa Mzima Kwa Wiki Kufanya Mikutano Mjini Zilikuwa Ni Hatua Za Mwanzo Kipindi Cha Kutangaza Chama, Unapokuwa Unapambana Na Mkolon Mweupe Ndo Unazungukia Mjin Ila Mkolon Mweusi Mpaka Upenye Vijiji Ukawatie Moyo Makamanda
bavicha imepoteza mvuto.
hao bavicha wamekaa kinyonge utafikiri wanaomboleza
Bavicha imepoteza mvuto.