[h=5][/h][h=5]Jamaa m1 alikua amekaa baa akiitizama bia yake
kwa zaid ya dk 20,akaja baunsa akachukua bia na
kuinywa yote..yule jamaa akaanza kulia baunsa
akamwambia uclie nilikua nakutania 2
ntakulipa,jamaa akamjibu hilo co tatizo ila leo ni
mikoc 2 kwng.....Asubuh kazn nimefukuzwa
kazi,baada ya kutoka nje gari yng
imeibiwa,kufika kwng nakuta ujembe mke wng
hanitak,nimekuja baa na kutia sumu ktk bia ili
nijiue ww umeinywa kwa ubabe.....JAMAN NA
MKOXI GANI MIE???hapo hapo baunsa
pinduuuuu....
[/h]