sasa sisi inatuhusu nini hapa labda kwa mfano?
Huyu Mtunis aliyeimbwa na Paulin Zongo kuwa hawezi kupasua "mahindi"?:der:
sasa sisi inatuhusu nini hapa labda kwa mfano?
He he he he kokorikooooo kumekucha...Umesoma Hili jukwa linaitwaje au unataka kuliwa Jicho ?
Celebrities forum....
mliokuja na mbio za mwenge mjini lazima muwaite wanamuji warugaruga, wewe unauza kinondoni leo unajiona mjanja enzi zetu za kununuwa nyapu tulikuwa tunaenda magoti, then kujirusha seven floor. wewe kipapa ulikuwa wapi kipindi hicho?huyu mwenzetu vp kwani,unataka kujifanya we ndo mtetezi au una ugomvi na warumi?kwani kakusoea nini jamani?acha ulugaluga fanya yako,hayo waachie wenyewe wambea au umetumwa???kama jini makata vile.hovyooooooo!
Sio celebtares ni celebrities...kumbe hao nao ni celebrates? he! kwaheri.
mliokuja na mbio za mwenge mjini lazima muwaite wanamuji warugaruga, wewe unauza kinondoni leo unajiona mjanja enzi zetu za kununuwa nyapu tulikuwa tunaenda magoti, then kujirusha seven floor. wewe kipapa ulikuwa wapi kipindi hicho?