asa ushaambiwa adoptor unahisi alifanyaje kama sio kununua mpya?Ulifanyaje kutatua hiyo issue
Nenda torrent site inayoitwa Piratebay huko utaipata full, kuidownload sharti uwe na application inayoitwa utorrent au bit torrent..wakuu naomba msaada wa Kupakua Power DVD 13 with series Keys
Na namna ghani ya kuweka keys kwenye power DVD ambayo ni trial kwenye PC