JMK ROYAL SERVICES
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 226
- 83
TunakutumiaTulip mikoani hamjafika
Mkuu JMK Kuna tatizo LA kupauka kwa bati hata hazijafika miaka saba na ushaidi ninao hapa nyumbani Kwangu madale sijui kwa upande wenu.Mabati migongo
midogo(corrugated)upana wa 86cm ya rangi
gauge28 ni 8,700/meter
gauge30 ni 7,600/meter
-Material aluzinc
-Rangi,green,brick red,charcoal gray,b-white,blue,sea blue,tile red, etc
-Urefu utakao ww kuanzia meter moja mpaka 12meter kwa bati moja.
-Warranty 15 years kwa it5,it4 na versatile na 60 years kwa naturalstone coated
-Yamethibitishwa na tbs
-Utapata mzigo ndani ya masaa 24 baada ya kulipia,
-Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama na usumbufu
Tupo mikocheni pembeni na mayfair plaza
0656816616,0713637508
,0766004940,07536375080656816616,0713637508
,0766004940,0753637508
Kwa gharama zipi mkuuTunakutumia
Inategemea na kiasi unachohitaji ww hapo ndo tunaeza piga gharamaKwa gharama zipi mkuu
Sawa mkuu!Inategemea na kiasi unachohitaji ww hapo ndo tunaeza piga gharama
Ntafute ntakuonesha tofauti mkuui,Mkuu JMK Kuna tatizo LA kupauka kwa bati hata hazijafika miaka saba na ushaidi ninao hapa nyumbani Kwangu madale sijui kwa upande wenu.
Njoo whatsapp 0656816616Nataka bati 90 mingogo midogo shilingi ngapi?za rangi ya blue na za kawaida zipo..na kama zipo bei ngani? Kwa bado futi 10 njo pm.
Wekeni hapa ili wengi tujue,mambo ya PM ya nn wakati umeamua kutangaza biasharaNjoo whatsapp 0656816616
Njoo whatsapp 0656816616
Word......maana mambo ya kutoweka uwazi yanaleta ukakasi ilihali alishatangaza biasharaMkuu jifunze kutoa mrejesho hapa hapa. Na mimi naweza kuvutiwa au mwingine mkafanya biashara. And don't assume kwamba kila mtu ana wattsup. Wewe provide requested info. Kama ni mfanya biashara ataomba mawasiliano. Au unaweza mpa number ya wattsup kama bonus.
Halafu kama biashara ni legit na unajiamini na quality ya product yako... you don't have to worry of anything or anybody. Daima binadamu anafuata ubora. Kama kitu ni kizuri. No matter what, you will get customers.
Ushawekewa bei,ushawekewa picha,unajibiwa maswali,alfu mteja mwenywe kasema pm,ya nn kuweka hapa ,nahisi kioa mtu maamuzi yake yaishimiwe tu wala hioi sio jambo la umma kama mtu anataka order yake kila mtu aone,au ajue location alipoWekeni hapa ili wengi tujue,mambo ya PM ya nn wakati umeamua kutangaza biashara
Me siko huko ndungu nafikiri mwenye alishakuja whatsapp tushaelewana na si vixuri kumsemea kama ulivyosema kam kitu ni quality haitajalisha ata nisipoweka hapa haitakibadilisha,mfano kipi kilichofichwa unahisi hakiongeleki whatsapp au alichoouliza mdau hapo kunaprove ubora?si kila kitu jamii forum kinahitaji siasa hii ni bus ess sisi tumechagua kuendesha hivyo.unapokosoa kisa mtu kasema nimfate pm tatzo liko wapi mkuu,au alichoouliza ata ukingali amaelezo ya post yanajitosheleza na picha zipo can they prove anything to you my brother,in quality as said,Mkuu jifunze kutoa mrejesho hapa hapa. Na mimi naweza kuvutiwa au mwingine mkafanya biashara. And don't assume kwamba kila mtu ana wattsup. Wewe provide requested info. Kama ni mfanya biashara ataomba mawasiliano. Au unaweza mpa number ya wattsup kama bonus.
Halafu kama biashara ni legit na unajiamini na quality ya product yako... you don't have to worry of anything or anybody. Daima binadamu anafuata ubora. Kama kitu ni kizuri. No matter what, you will get customers.
Mkuu jifunze kutoa mrejesho hapa hapa. Na mimi naweza kuvutiwa au mwingine mkafanya biashara. And don't assume kwamba kila mtu ana wattsup. Wewe provide requested info. Kama ni mfanya biashara ataomba mawasiliano. Au unaweza mpa number ya wattsup kama bonus.
Halafu kama biashara ni legit na unajiamini na quality ya product yako... you don't have to worry of anything or anybody. Daima binadamu anafuata ubora. Kama kitu ni kizuri. No matter what, you will get customers.
Me siko huko ndungu nafikiri mwenye alishakuja whatsapp tushaelewana na si vixuri kumsemea kama ulivyosema kam kitu ni quality haitajalisha ata nisipoweka hapa haitakibadilisha,mfano kipi kilichofichwa unahisi hakiongeleki whatsapp au alichoouliza mdau hapo kunaprove ubora?si kila kitu jamii forum kinahitaji siasa hii ni bus ess sisi tumechagua kuendesha hivyo.unapokosoa kisa mtu kasema nimfate pm tatzo liko wapi mkuu,au alichoouliza ata ukingali amaelezo ya post yanajitosheleza na picha zipo can they prove anything to you my brother,in quality as said,
Nitakutafuta soon mkuuMe siko huko ndungu nafikiri mwenye alishakuja whatsapp tushaelewana na si vixuri kumsemea kama ulivyosema kam kitu ni quality haitajalisha ata nisipoweka hapa haitakibadilisha,mfano kipi kilichofichwa unahisi hakiongeleki whatsapp au alichoouliza mdau hapo kunaprove ubora?si kila kitu jamii forum kinahitaji siasa hii ni bus ess sisi tumechagua kuendesha hivyo.unapokosoa kisa mtu kasema nimfate pm tatzo liko wapi mkuu,au alichoouliza ata ukingali amaelezo ya post yanajitosheleza na picha zipo can they prove anything to you my brother,in quality as said,