deniro Member Joined Aug 24, 2015 Posts 8 Reaction score 5 Oct 5, 2017 #1 Kama unamhitaji nipigie 0718337800 bei 300,000. Anaumri Wa Mwaka mmoja na kilo 8
The hammer JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 2,409 Reaction score 1,812 Oct 5, 2017 #2 Sijui eneo ulipo ila hao wanauzwa Tsh.150,000/= wakiwa wakubwa kabisa. au sijajua hiyo pesa uliyoitaja no currency ya nchi gani.Then mwaka mmoja Na kilo 8 no umri Wa sehemu gani katika universe yetu hii.
Sijui eneo ulipo ila hao wanauzwa Tsh.150,000/= wakiwa wakubwa kabisa. au sijajua hiyo pesa uliyoitaja no currency ya nchi gani.Then mwaka mmoja Na kilo 8 no umri Wa sehemu gani katika universe yetu hii.
deniro Member Joined Aug 24, 2015 Posts 8 Reaction score 5 Oct 5, 2017 Thread starter #3 Nafikiri ww huwajui hao ..na hiyo bei uliotaja ni kwa wale wasio panda au wasio taga kama n jike
deniro Member Joined Aug 24, 2015 Posts 8 Reaction score 5 Oct 5, 2017 Thread starter #4 Kuchi ndio wanauzwa lk 150k