Ukipata taarifa kuwa kuna ajali imetokea karibu na wewe ulipo unatakiwa uende ukatoe msaada, hizi taarifa si muziki kwamba tungo ikamilike ili usikilize na kucheza.
Wanabahati nimeacha njia sehemu ambayo haina bonde. Hiyo kitonga kunasehemu mita 2 kutoka kwenye kingo ya barabara ni bonde lenye urefu wa semi trailer 2 mpka 3.
Utatuzi wa eneo korofi la milima ya Kitonga, Lukumbulu, Sekenke, Lyamba lya mfipa Usambara, Nyang'oro na mlima Kolo ni ujenzi wa mahandaki kama yale yaliyojengwa Kilosa kwenye reli ya SGR_TZ ..... Badala ya kujilipa maposho na kununua ma V8 Serikali igharimie miundombinu ya kudumu kama hivi: 👇 👇
There’s so much to discover across Africa — from Cape to Cairo, every region holds powerful lessons and opportunities. Let’s explore, learn, and grow together on this incredible continent. #IATF2025...