Hiyo njia ni shida na ni mojawapo ya barabara tata nchini (milima na mabonde).Tatizo LA madereva wa Superfeo,Selous,New Force,Kisumapai n.k huwa wanajifanya hiyo njia wameizoea sana.Pole yao afu hii njia Songea-Njombe naiogopa sana bora upite Tunduru,.halafu hivi sasa kuna kampuni mpya Tevavil angalau ataleta ushindani kwa hao jamaa kwa njia ya Tunduru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo njia ni shida na ni mojawapo ya barabara tata nchini (milima na mabonde).Tatizo LA madereva wa Superfeo,Selous,New Force,Kisumapai n.k huwa wanajifanya hiyo njia wameizoea sana.
Ni njia tata na hatarishi kweli.Huwa wanashuka kama vile hawana akili.Ukiwaambia eti wao wana uzoefu na njia hiyo.
Hata kama ni utelezi,miaka yote haupo?
Hapo ni mwendo na ujuaji mwingi.
Mgimwa (dereva)wa New Force ukimwambia speed ati anadai ana uzoefu wa miaka 17 na basi.
Omari Msigwa na wenzako wamiliki wa Superfeo na Selous muwe mnafuatilia madereva wenu (baadhi) ambao ni wapuuzi.
"Chris" Meneja wako YEYE kukalisha makalio tu Ofisini kutwa kucheka na hao wadada/wamama wakata tiketi sura kama pimbi utadhani wao pia ni wamiliki wa hayo mabasi.
Hiyo njia kutoka Njombe hadi Songea,ni pori hakuna trafiki.HIVYO wanajiachia tu watakavyo.
MY TAKE:
Nimezungumzia Superfeo ingawa ajali ni basi kampuni ya Selous.Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kampuni ya Superfeo na Selous.Ukitaka kujua uzi umewahi kuletwa humu,fukunyua.
Serikali imulike mabasi yote ya abiria yanayoenda Songea-Dar-Mtwara-Mbeya n.k ili kudhibiti ajali.Kuna baadhi ya madereva hawazingatii Sheria.
Tuombe Mungu tu,dereva angemesapu kidogo ingekuwa janga muda huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo njia ni shida na ni mojawapo ya barabara tata nchini (milima na mabonde).Tatizo LA madereva wa Superfeo,Selous,New Force,Kisumapai n.k huwa wanajifanya hiyo njia wameizoea sana.
Ni njia tata na hatarishi kweli.Huwa wanashuka kama vile hawana akili.Ukiwaambia eti wao wana uzoefu na njia hiyo.
Hata kama ni utelezi,miaka yote haupo?
Hapo ni mwendo na ujuaji mwingi.
Mgimwa (dereva)wa New Force ukimwambia speed ati anadai ana uzoefu wa miaka 17 na basi.
Omari Msigwa na wenzako wamiliki wa Superfeo na Selous muwe mnafuatilia madereva wenu (baadhi) ambao ni wapuuzi.
"Chris" Meneja wako YEYE kukalisha makalio tu Ofisini kutwa kucheka na hao wadada/wamama wakata tiketi sura kama pimbi utadhani wao pia ni wamiliki wa hayo mabasi.
Hiyo njia kutoka Njombe hadi Songea,ni pori hakuna trafiki.HIVYO wanajiachia tu watakavyo.
MY TAKE:
Nimezungumzia Superfeo ingawa ajali ni basi kampuni ya Selous.Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kampuni ya Superfeo na Selous.Ukitaka kujua uzi umewahi kuletwa humu,fukunyua.
Serikali imulike mabasi yote ya abiria yanayoenda Songea-Dar-Mtwara-Mbeya n.k ili kudhibiti ajali.Kuna baadhi ya madereva hawazingatii Sheria.
Tuombe Mungu tu,dereva angemesapu kidogo ingekuwa janga muda huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa,VIP Yale mabasi 11 yaloingia mwez huu yashaanza routes?Hiyo njia ni shida na ni mojawapo ya barabara tata nchini (milima na mabonde).Tatizo LA madereva wa Superfeo,Selous,New Force,Kisumapai n.k huwa wanajifanya hiyo njia wameizoea sana.
Ni njia tata na hatarishi kweli.Huwa wanashuka kama vile hawana akili.Ukiwaambia eti wao wana uzoefu na njia hiyo.
Hata kama ni utelezi,miaka yote haupo?
Hapo ni mwendo na ujuaji mwingi.
Mgimwa (dereva)wa New Force ukimwambia speed ati anadai ana uzoefu wa miaka 17 na basi.
Omari Msigwa na wenzako wamiliki wa Superfeo na Selous muwe mnafuatilia madereva wenu (baadhi) ambao ni wapuuzi.
"Chris" Meneja wako YEYE kukalisha makalio tu Ofisini kutwa kucheka na hao wadada/wamama wakata tiketi sura kama pimbi utadhani wao pia ni wamiliki wa hayo mabasi.
Hiyo njia kutoka Njombe hadi Songea,ni pori hakuna trafiki.HIVYO wanajiachia tu watakavyo.
MY TAKE:
Nimezungumzia Superfeo ingawa ajali ni basi kampuni ya Selous.Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kampuni ya Superfeo na Selous.Ukitaka kujua uzi umewahi kuletwa humu,fukunyua.
Serikali imulike mabasi yote ya abiria yanayoenda Songea-Dar-Mtwara-Mbeya n.k ili kudhibiti ajali.Kuna baadhi ya madereva hawazingatii Sheria.
Tuombe Mungu tu,dereva angemesapu kidogo ingekuwa janga muda huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chanzo niutelezi mzee baba
Hahahahaha, nakupa namba ya Chris au Omary Msigwa atakujuza.Sipo kwa miezi 3 hivi.Daaa,VIP Yale mabasi 11 yaloingia mwez huu yashaanza routes?
Hahahahaha, nakupa namba ya Chris au Omary Msigwa atakujuza.Sipo kwa miezi 3 hivi.