Hawa na Super Feo wanaendesha magari hovyo kabisa
daaaaa!!!!!na hii midereva mingine inakimbiza sana gar, mimi leo nilikuwa nasafiri na bas la bunda express, yaani jamaa alikuwa anakata kona na 130 speed. huwezi amin gar ilikuwa inayumba sana ikanibidi nianze kutubu madhambi yangu ili kusudi litakalo tokea mora aipokee roho yangu.
Madereva jamani mimi nikiwa dereva mwenzenu kwa uzoefu wangu mala nyingi gar uacha njia na kupinduka kwasbb ya speed kali. jaribu kuwa na huruma na roho za watu. wanapokufa wanaacha yatima, vilema nguvu kazi inapotea. punguzeni mwendo
Wastaarab ni madereva Wa kampuni ya ABC
huo ndio ukweli mchunguPanda NEW FORCE ya tunduma utajuta.........matuta yanarukwa kama kitu gani sijui yaani amani inatoweka......wakiwaona mbayuwayu(Trafick officers) speed inapungua sana.Na trafiki akiingia ndani ya gari kuuliza niaje.....raia wanasema kilakitu ipo poa.........ukiuliza jamani speed mnayoendeshwa ni salama watu utaskia ndiiiiiiiiiioooooooooooo,dereva anaendesha fresh hakuna tatizo raia utaskia tena...ndiooooooooooooo.Kimoyomoyo nadhani matrafiki wanasemaga.......haya nendeni mkafie mbele ya safari pumbavu zenu.
Panda NEW FORCE ya tunduma utajuta.........matuta yanarukwa kama kitu gani sijui yaani amani inatoweka......wakiwaona mbayuwayu(Trafick officers) speed inapungua sana.Na trafiki akiingia ndani ya gari kuuliza niaje.....raia wanasema kilakitu ipo poa.........ukiuliza jamani speed mnayoendeshwa ni salama watu utaskia ndiiiiiiiiiioooooooooooo,dereva anaendesha fresh hakuna tatizo raia utaskia tena...ndiooooooooooooo.Kimoyomoyo nadhani matrafiki wanasemaga.......haya nendeni mkafie mbele ya safari pumbavu zenu.
Top speed 120km/h